WAKAZI katika Ukanda wa Maziwa Makuu na Pembe ya Afrika (RESCA) wameendelea kuhakikishiwa usalama baada ya ‎Waziri wa Mambo ya Ndani ya Nchi, Paschal Katambi kushiriki mkutano wa kamati ndogo ya ...
WATUMISHI 10 kati ya 43 wa Halmashauri ya Wilaya ya Wanging’ombe mkoani Njombe, waliokuwa wakielekea wilayani Makete katika wamenusurika kufa baada ya gari namba T985 DHH aina ya Fuso Bus kuacha njia ...
INTERNATIONAL birdwatching enthusiasts from South Africa and the United States have called upon the tourism authorities to accelerate strategic investments to expand birdwatching tourism. This appeal ...
Serikali ya Tanzania imetenga zaidi ya Sh. bilioni 3.5 kwa ajili ya kuboresha meli ya MV Songea inayofanya safari kati ya bandari ya Kiwira mkoani Mbeya na Mbamba Bay mkoani Ruvuma kupitia Ziwa Nyasa.
Ofisi ya Hakimiliki Tanzania (COSOTA) imewakutanisha wadau kutoka sekta ya usafirishaji, utangazaji, kumbi za starehe, hoteli, na maeneo mengine ya biashara ili kujadiliana kwa pamoja namna bora ya ...
Serikali imepanga kuanza kutumia teknolojia ya kisasa kufuatilia uzalishaji na biashara ya madini ili kudhibiti utoroshaji na kuongeza mapato ya ndani. Akiwasilisha bajeti ya Wizara ya Madini kwa ...
Mwanaume mmoja ambaye hajafahamika kwa majina wala umri amefariki dunia baada ya kuzama katika Mto Sanya, wilaya ya Hai mkoani Kilimanjaro, akidaiwa kuteleza alipokuwa akivuka kivuko cha magogo ...
Mwanasiasa mkongwe aliyewahi kushika nyadhifa mbalimbali katika Serikali na CCM, Stephen Wasira ameteuliwa kuwa Makamu Mwenyekiti wa chama hicho (Bara). Wasira ambaye jina lake limewasilishwa mbele ya ...
Waziri wa Nishati, Deogratius Ndejembi, ameagiza uchunguzi wa haraka dhidi ya Kampuni ya Azhar Construction Company Limited inayodaiwa kukwepa kulipa madeni ya wafanyabiashara wa Wilaya ya Ngara ...
Katibu Mkuu wa Wizara ya Habari, Utamaduni, Sanaa na Michezo pamoja na Msemaji Mkuu wa Serikali, Gerson Msigwa, ametangaza kuanza kwa maboresho makubwa katika Uwanja wa Benjamin Mkapa uliopo jijini ...