Rais wa Jamhuri ya Muungano wa Tanzania, Samia Suluhu Hassan akiwa kwenye picha na mfanyabiashara kutoka nchini Nigeria ambaye pia ni mwanzilishi na mmiliki wa Dangote Group, Aliko Dangote, Ikulu ...
Waziri wa Maliasili na Utalii, Ashatu Kijaji, akizungumza wakati akiwasilisha bajeti ya wizara yake kwa mwaka wa fedha 2026/2027, Bungeni jijini Dodoma. Picha na Said Khamis Dodoma. Wakala wa Huduma ...
Askari wa Jeshi la Wananchi wa Tanzania (JWTZ) wanaishiriki zoezi la Ushirikiano Imara linaloandaliwa na Jumuiya ya Afrika Mashariki (EAC)likihusisha majeshi kutoka nchi wanachama wa EAC jijini ...
Nyota wa PSG, Ousmane Dembele (kushoto), mwingine kulia ni nyota wa Real Madrid na nahodha wa Ufaransa, Kylian Mbappe. Picha na Mtandao Nyota wa Real Madrid, Kylian Mbappe na staa wa PSG, Ousmane ...
Rais wa Tanzania, Samia Suluhu Hassan. Dar es Salaam. Rais Samia Suluhu Hassan ameivunja Bodi ya Wadhamini ya Mfuko wa Hifadhi ya Jamii kwa Watumishi wa Umma (PSSSF), miezi 14 baada ya kuzinduliwa.
Shinyanga. Zaidi ya miaka 10 tangu kuanza kwa ujenzi wa Soko la Ndala kupitia Mfuko wa Maendeleo ya Jamii (Tasaf), wananchi wa kata hiyo wameibuka na kilio kipya wakiiomba Serikali kulinusuru soko ...
Watuhumiwa wa kifikishwa katika Mahakama ya Wilaya ya Ilemela iliyopo Jijini Mwanza kwa ajili ya kusomewa shtaka la mauaji. Picha na Polisi Mwanza. Jeshi la Polisi Mkoa wa Mwanza limewafikisha ...
Rais wa China, Xi Jinping ametoa wito kwa nchi yake na Marekani kushirikiana kama washirika badala ya kuwa wapinzani, akisisitiza haja ya utulivu katika uhusiano wa mataifa hayo mawili yenye ushawishi ...
Kagera. Wajumbe wa bodi ya Kahawa wametembelea kiwanda cha kuchakata kahawa cha Amimza kinachozalisha takribani tani 18,000 ya zao hilo. Wajumbe hao wa bodi wakiwa katika ziara mkoani Kagera ...
Mwanza. Taasisi ya Kuzuia na Kupambana na Rushwa (Takukuru) Mkoa wa Mwanza imezuia hasara ya zaidi ya Sh27.5 milioni katika mradi wa maji wa Mahaha, Wilaya ya Magu baada ya kubaini matumizi ya nyaya ...
Kamanda wa Takukuru Mkoa wa Geita James Ruge, akitoa taarifa ya utendaji wa taasisi hiyo Katika robo ya tatu Januari hadi Machi, 2026. Geita. Taasisi ya Kuzuia na Kupambana na Rushwa (Takukuru) Mkoa ...
Pichani ni mfanyabiasha Sifaeli Mollel anayedaiwa kutoweka kwa siku saba. Arusha. Simanzi na maswali mazito vimetanda katika familia ya mfanyabiashara Sifaeli Mollel baada ya mwili wake kukutwa ukiwa ...
Some results have been hidden because they may be inaccessible to you
Show inaccessible results