MBUNGE wa Ikungi Elibariki Kingu, ameishauri serikali kuondoa matumizi yote ambayo hayana umuhimu ikiwemo posho na vikao visivyokuwa na ulazima kunzia mwezi Aprili hadi Julai mwaka huu, ili fedha ...
MKUU wa Mkoa wa Dar es Salaam, Albert Chalamila amewataka wafanyabiashara wadogo maarufu machinga katika soko la Simu 2000 kusitisha mgomo na kuendelea na majukumu yao huku akiwaahidi kuzungumza nao ...
WATUMISHI 10 kati ya 43 wa Halmashauri ya Wilaya ya Wanging’ombe mkoani Njombe, waliokuwa wakielekea wilayani Makete katika wamenusurika kufa baada ya gari namba T985 DHH aina ya Fuso Bus kuacha njia ...
wili wa aliyekuwa Waziri wa Nchi, Ofisi ya Waziri Mkuu (Sera, Bunge, Uratibu na Wenye Ulemavu), na Mbunge wa Isimani, William Lukuvi (70), umewasili nyumbani kwake jijini Dodoma kwa ajili ya ...
SAKATA la mikopo inayolalamikiwa, maarufu kama ‘kausha damu’, limeendelea kuibuka bungeni huku wabunge wakihoji mikakati ya serikali wa kuzibana taasisi zinazotoa mikopo kwa riba kubwa hali ...
BABA mzazi wa nahodha wa timu ya Taifa Stars, Mbwana Samatta aliyefariki juzi, Ally Samatta Pazi, anatarajiwa kuzikwa leo Jumatatu kijijini kwao Kibiti Wilaya ya Rufiji mkoa wa Pwani. Kwa mujibu wa ...
MBAAZI ni zao, linalolimwa maeneo mbalimbali ya mikoa hapa nchini, lakini wengi walilima zao hilo kama kitoweo. Kutokana na kuona zao hilo kama ni kitoweo, hawakulitilia mkazo kwa kulilima kwa wingi, ...
MPANGO mkakati wa kusaidia wakulima wa zao la shayiri Tanzania umezinduliwa ili kuongeza uzalishaji wa zao hilo na kukidhi soko la viwanda vya ndani na biashara katika ukanda la ndani. Akizungumza ...
Kwa mara ya kwanza, Tanzania inatarajia kuanzisha tuzo za kutambua na kuthamini mchango wa wasanii katika tasnia ya vichekesho (uchekeshaji) chini ya usimamizi wa Baraza la Sanaa la Taifa (BASATA) na ...
Naibu Waziri wa Fedha, Hamad Chande, amezindua rasmi Bahati Nasibu ya Taifa Tanzania, hatua kubwa kwa sekta ya michezo ya kubahatisha nchini. Uzinduzi huo umefanyika katika hafla ya kihistoria ambapo ...