DAR ES SALAAM: KAMATI ya kudumu ya Bunge ya Bajeti imeipongeza Mamlaka ya Mapato Tanzania (TRA) kwa utendaji kazi ambao ...
DAR ES SALAAM: VIJANA wametakiwa kusoma masomo ya sanaa kwa kuwa ni nyenzo muhimu katika kuitangaza nchi, pamoja na kutoa ...
DAR ES SALAAM: Mamlaka ya Udhibiti Mkondo wa Juu wa Petroli (PURA) imeahidi kuwa kuwa itandelea kuunga mkono juhudi za Serikali za kukabiliana na ugonjwa wa Upungufu wa Kinga Mwilini (UKIMWI) na Magon ...
MOSHI: CHAMA Cha Mapinduzi (CCM) kimewataka Watanzania kutokubali kuwakabidhi watu wasio na sifa na uzoefu wa uongozi dhamana ya kuongoza nchi, kikisisitiza kuwa uongozi wa taifa si jambo la majaribio ...
MOSHI: UJENZI wa Kituo Kikuu cha Mabasi cha Kimataifa cha Ngangamfumuni katika Manispaa ya Moshi mkoani Kilimanjaro unatajwa kuwa chachu ya kuibadilisha Manispaa hiyo na kuwa kitovu kipya cha shughuli ...
DAR ES SALAAM: SHIRIKA la Maendeleo Umoja wa Mataifa (UNDP) Tanzania limesaini Hati za Makubaliano (MoUs) na taasisi tisa za elimu ya juu nchini, hatua inayolenga kuimarisha ujuzi wa vitendo, ubunifu ...
KILIMANJARO: SERIKALI ya Awamu ya Sita imeendelea kuboresha mazingira ya kujifunzia kwa wanafunzi wa kike nchini kupitia uwekezaji mkubwa wa miundombinu ya elimu, ambapo zaidi ya Sh bilioni 4.4 zimetu ...
KILIMANJARO: ZAIDI ya Mitungi 3000 ya Oksijeni imezalishwa katika Hospitali ya Rufaa ya Mkoa Mawenzi katika kipindi cha miezi sita tangu, hali iliyosaidia kuondoa changamoto ya upatikanaji wa hewa ...
Unguja. Zanzibar imeanza mchakato wa kuboresha sekta ya usafiri wa teksi kupitia mpango wa kuanzisha mfumo wa kidijitali wa malipo na upimaji wa nauli unaolenga kuongeza uwazi, ufanisi na urahisi kwa ...
ARUSHA: UZINDUZI wa kituo kipya cha mafuta cha Orxy wilayani Karatu mkoani Arusha ni hatua muhimu ya kuongeza fursa za ajira, kurahisisha upatikanaji wa nishati ya mafuta kwa wasafirishaji na kuchoche ...
KILIMANJARO: CHAMA Cha Mapinduzi (CCM) kimesema hakitakuwa tayari kuvumilia mtumishi yeyote wa chama au serikali atakayekwamisha jitihada za utoaji huduma kwa wananchi, kikisisitiza kuwa hatua ...
KIGOMA: SERIKALI mkoani Kigoma imeahidi kutatua changamoto zisizo za kikodi zinazowakabili wafanyabiashara na wasafirishaji wa malighafi ya kutengeneza saruji (Clinker) kutoka Jamhuri ya Kidemokrasia ...
Some results have been hidden because they may be inaccessible to you
Show inaccessible results