MWIGIZAJI wa Bongo Movie, Shamsa Ford ni mmoja wa wasanii ambao wamedumu kwenye ndoa zao tangu waamue kuingia katika hali ...
Wangunga ni wadau muhimu katika kuhakikisha afya ya mama na mtoto inakuwa sama, kabla, wakati na baada ya kujifungua limesema Shirika la Umoja wa Mataifa la Idadi ya Watun a Afya ya Uzazi UNFPA.
Nchi zinazoendelea zinakabiliwa na ongezeko la ulipaji wa madeni ya taifa, hali inayotishia kupotea kwa ajira milioni 55 kwa wanawake na kupunguza kipato chao kwa asilimia 17, imesema ripoti mpya ...
Msomaji wangu, tunaendelea na mada zetu za Maisha Ndivyo Yalivyo tukiwamulika wakwe zetu. Lakini kabla ya yote, hebu kwanza nikumegee umuhimu wa mke, aina za wake na tabia zao. Pengine mtu atajiuliza ...
Licha ya kuenea kwa ukatili wa kijinsia katika mkoa wa Kigoma nchini Tanzania, wahanga wengi hukaa kimya kutokana na hofu, mila na ukosefu wa elimu, hali ...
DAR ES SALAAM: KATIKA jitihada za kutambua na kuenzi mchango wa wanawake katika maendeleo ya kijamii na kiuchumi barani Afrika, Shirika la Women in Management Africa (WIMA) limetoa tuzo za heshima kwa ...
Ndoa ni muungano wa kipekee kati ya watu wawili, wenye lengo la kuunda familia na kuishi kwa furaha. Hata hivyo, migogoro ya ndoa ni jambo la kawaida na linaweza kutokea katika maisha ya kila siku.
Dar es Salaam. Mkuu wa Mkoa wa Mwanza, Said Mtanda, amewataka wanawake nchini kuwaeleza na kuwashirikisha wenza wao kuhusu shughuli za kiuchumi wanazozifanya ili kuepusha migogoro inayoweza kujitokeza ...
Tume huru ya uchunguzi wa vurugu za wakati na baada ya uchaguzi mkuu wa Oktoba 29 Tanzania, imekabidhi ripoti yake mbele ya rais wa taifa hilo Samia Suluhu Hassan, viongozi wa serikali, kikanda na ...
KARIBU tena msomaji wangu kwenye safu hii pendwa ya Maisha Ndivyo Yalivyo. Hapa utajifunza na kusikia vituko mbalimbali vinavyotokea kwe nye maisha yetu ya kila siku. Wiki iliyopita tuliona ndoa za ...
Some results have been hidden because they may be inaccessible to you
Show inaccessible results