MWIGIZAJI wa Bongo Movie, Shamsa Ford ni mmoja wa wasanii ambao wamedumu kwenye ndoa zao tangu waamue kuingia katika hali ...
Jamii imekuwa ikishuhudia migogoro ya ndoa inayotokana na sababu ndogo zinazogeuka kuwa kubwa kwa kukosa ushauri sahihi. Watu wanaoa wakiwa na elimu ya taaluma mbalimbali, lakini bila elimu ya ndoa.
KAGERA: Wizara ya Katiba na Sheria imeanza kutoa mafunzo kwa Wajumbe wa Bodi za Usuluhishi wa migogoro ya ndoa, kufuatia ongezeko la kesi za talaka nchini. Akifungua mafunzo hayo leo Aprili 8, Naibu ...
WAKATI kesho Machi 8 ni Siku ya Wanawake Duniani, waasisi wa Chama cha Waandishi wa Habari Wanawake Tanzania (TAMWA), wamekutana na kukumbushia safari ya mafanikio ya chama hicho na kuhamasisha kizazi ...
Spika wa Bunge, Mussa Azzan Zungu akikabidhiwa mfano wa hundi kutoka kwa wahitimu wa mafunzo ya uongozi kwa wanawake, jumla ya Sh35 milioni zimezotolewa kwa ajili ya kuwahudumia watoto wenye matatizo ...
Ubalozi wa Ufaransa nchini DRC umethibitisha uwepo wa maafisa wa jeshi la Ufaransa huko Kisangani kama sehemu ya mpango wa ushirikiano wa kijeshi kati ya nchi hizo mbili. Kimsingi wakiwa wametumwa na ...
Wanawake zaidi ya 100 kutoka katika mikoa 10 nchini, wamewezeshwa mafunzo ya ufugaji nyuki na utengenezaji wa mizinga ambayo yanafanyika mjini Bagamoyo mkoani Pwani. Mafunzo hayo ambayo yamelenga ...
Mkutano wa Accelerate Women East Africa, uliofanyika Kenya Desemba 2025, umeibua mjadala mpana kuhusu nafasi ya wanawake katika ujasiriamali, huku ukiangazia changamoto kubwa zinazowakabili, hususan ...
Nchini Zambia, mafunzo ya mapishi yanayotolewa na Shirika la Umoja wa Mataifa linalohusika na masuala ya watoto, UNICEF, kwa wanawake yamefanikiwa kubadilisha namna familia zinavyowalisha watoto wao, ...
Umoja wa Ulaya (EU) unafikiria kutoa mafunzo kwa maafisa wa polisi wapatao 3,000 katika Ukanda wa Gaza, sawa na kile ambacho tayari umefanya katika Ukingo wa Magharibi, afisa mmoja wa Ulaya amesema ...
NAIROBI, Kenya, Oct 28 – A cross-section of women who are members of Maendeleo ya Wanawake Organisation (MYWO) have filed a constitutional petition seeking orders to have the organisation conduct ...