Umoja wa Mataifa, UN umeziongeza Israeli na Urusi kwenye orodha ya nchi na mashirika yanayoshukiwa kufanya ukatili wa kingono katika maeneo yenye migogoro.
Waethiopia kupiga kura katika uchaguzi wa kitaifa wa bunge,chama tawala cha Prosperity kinachoongozwa na waziri mkuu Abiy Ahmed kikitarajia kushinda kwa kishindo ...
Pengine ni kutokana na utamaduni wetu uliojengwa kwa kiasi fulani na misingi ya siasa za ujamaa, uchaguzi huwa hauangalii sana hali ya kiuchumi ya mgombea, hata wa nafasi kubwa kama ya urais wa taasis ...
Maafisa wa Saudi wanajaribu kudumisha uwazi kuhusu kubadilisha mwelekeo wa Dira ya maendeleo ya 2030 utofauti na hali ...