Mtaalamu wa Umoja wa Mataifa na mashirika 40 yasiyo ya kiserikali yanaikosoa Uswisi kwa kuwarudisha kwa nguvu nyumbani waomba ...
Taarifa iliyotolewa na Waziri wa Mambo ya Nje wa Marekani Marco Rubio imesema kwa kuzingatia taarifa zinazoaminika, Mafwele ...
Umoja wa Mataifa, UN umeziongeza Israeli na Urusi kwenye orodha ya nchi na mashirika yanayoshukiwa kufanya ukatili wa kingono katika maeneo yenye migogoro.
Katibu Mkuu wa Umoja wa Mataifa António Guterres ametahadharisha kuhusu mwelekeo wa vita vinavyoendelea nchini Ukraine na ...
Waethiopia kupiga kura katika uchaguzi wa kitaifa wa bunge,chama tawala cha Prosperity kinachoongozwa na waziri mkuu Abiy Ahmed kikitarajia kushinda kwa kishindo ...
Nchi za Afrika Mashariki, zimekumbwa na vikwazo vya watu wake kuzuiwa kuingia Marekani huku majina makubwa ya kisiasa na ...
Wabunge wa Ghana wamepitisha moja ya sheria kandamizi zaidi dhidi ya jamii ya watu wa LGBT+ barani Afrika Ijumaa alasiri, Mei 29. Sasa inahitaji kuidhinishwa na Rais John Mahama ili kuanza kutumika.
DAR ES SALAAM: MTANDAO wa Watetezi wa Haki za Binadamu Tanzania (THRDC) umekemea vikali mauaji ya aliyekuwa mmliki wa kiwanda ...
DODOMA; WAZIRI wa Mambo ya Nje na Ushirikiano wa Afrika Mashariki, Balozi Mahmoud Thabit Kombo, amesema Tanzania inaendelea ...
Pengine ni kutokana na utamaduni wetu uliojengwa kwa kiasi fulani na misingi ya siasa za ujamaa, uchaguzi huwa hauangalii sana hali ya kiuchumi ya mgombea, hata wa nafasi kubwa kama ya urais wa taasis ...
Mara nyingi nikitembelea sehemu mbalimbali za miji nchini na baadhi ya vijiji, naona tofauti ya michezo ya watoto wa zamani ...
A new initiative aimed at boosting the safety and capacity of human rights defenders in Kenya and across East Africa has been unveiled amid growing concerns over shrinking civic space.