Mkuu wa Mkoa wa Morogoro, akiwa katika picha ya pamoja na wajumbe wa Bodi mpya ya 10 ya Mamlaka ya Majisafi na Usafi wa Mazingira Morogoro (MORUWASA). Wa tatu kushoto ni Katibu Mkuu wa Wizara ya Maji, ...
Rais wa Jamhuri ya Muungano wa Tanzania, Samia Suluhu Hassan akiwa kwenye picha na mfanyabiashara kutoka nchini Nigeria ambaye pia ni mwanzilishi na mmiliki wa Dangote Group, Aliko Dangote, Ikulu ...
Dar es Salaam. Chama cha Sekta ya Ulinzi Tanzania (TSIA) kimelaani matumizi ya mabaunsa kwa shughuli za ulinzi, pamoja na kufanya fujo na kusababisha madhara kwa watu na mali zao. Chama hicho ...
Askari wa Jeshi la Wananchi wa Tanzania (JWTZ) wanaishiriki zoezi la Ushirikiano Imara linaloandaliwa na Jumuiya ya Afrika Mashariki (EAC)likihusisha majeshi kutoka nchi wanachama wa EAC jijini ...
Dar es Salaam. Utafiti mpya unaonyesha kuwa mazoezi ya mwili yanaweza kuwa na ufanisi unaokaribiana na dawa katika kupunguza dalili za msongo wa mawazo na wasiwasi. Matokeo haya yametolewa na watafiti ...
Dar es Salaam. Rais wa Yanga, Hersi Said amesema mradi wa ujenzi wa Uwanja mpya wa klabu hiyo, utawafanya kumiliki asilimia 50 huku mwekezaji akimiliki kiasi hicho. Akizungumza leo Ijumaa Mei 15, 2026 ...
Rais wa Tanzania, Samia Suluhu Hassan. Dar es Salaam. Rais Samia Suluhu Hassan ameivunja Bodi ya Wadhamini ya Mfuko wa Hifadhi ya Jamii kwa Watumishi wa Umma (PSSSF), miezi 14 baada ya kuzinduliwa.
Kishapu. Katika jitihada za kuimarisha haki za familia na kupunguza migogoro ya ndoa katika jamii, wananchi wa kijiji cha Mwagembe, kata ya Mwataga wilayani Kishapu mkoani Shinyanga wamehamasishwa ...
Shinyanga. Zaidi ya miaka 10 tangu kuanza kwa ujenzi wa Soko la Ndala kupitia Mfuko wa Maendeleo ya Jamii (Tasaf), wananchi wa kata hiyo wameibuka na kilio kipya wakiiomba Serikali kulinusuru soko ...
Watuhumiwa wa kifikishwa katika Mahakama ya Wilaya ya Ilemela iliyopo Jijini Mwanza kwa ajili ya kusomewa shtaka la mauaji. Picha na Polisi Mwanza. Jeshi la Polisi Mkoa wa Mwanza limewafikisha ...
Rais wa China, Xi Jinping ametoa wito kwa nchi yake na Marekani kushirikiana kama washirika badala ya kuwa wapinzani, akisisitiza haja ya utulivu katika uhusiano wa mataifa hayo mawili yenye ushawishi ...
Kamatakamata hiyo imetokea saa 8 usiku wa kuamkia leo Mei 14, 2026 katika eneo hilo lililotawaliwa na vurugu Mei 6, 2026 na kusababisha vifo vya watu wanne kufuatia mgogoro wa ardhi uliodumu kwa muda ...
Some results have been hidden because they may be inaccessible to you
Show inaccessible results