WATUMISHI 10 kati ya 43 wa Halmashauri ya Wilaya ya Wanging’ombe mkoani Njombe, waliokuwa wakielekea wilayani Makete katika wamenusurika kufa baada ya gari namba T985 DHH aina ya Fuso Bus kuacha njia ...