Dar es Salaam. Kwa mara ya kwanza katika historia, kituo cha luninga cha Azam TV kitaonesha mbashara mechi zote 104 za Fainali za Kombe la Dunia zitakazofanyika Canada, Marekani na Mexico. Hii inakuwa ...
Dar es Salaam. Chama cha Sekta ya Ulinzi Tanzania (TSIA) kimelaani matumizi ya mabaunsa kwa shughuli za ulinzi, pamoja na kufanya fujo na kusababisha madhara kwa watu na mali zao. Chama hicho ...
Mkurugenzi wa Kampuni ya Kilifair Promotion, Dominic Shoo,akizingumza na waandishi wa habari jijini Arusha jana Mei 14, 2026 kuhusu maandalizi ya maonesho ya kimataifa ya utalii ya ...
Dar es Salaam. Utafiti mpya unaonyesha kuwa mazoezi ya mwili yanaweza kuwa na ufanisi unaokaribiana na dawa katika kupunguza dalili za msongo wa mawazo na wasiwasi. Matokeo haya yametolewa na watafiti ...
Nyota wa PSG, Ousmane Dembele (kushoto), mwingine kulia ni nyota wa Real Madrid na nahodha wa Ufaransa, Kylian Mbappe. Picha na Mtandao Nyota wa Real Madrid, Kylian Mbappe na staa wa PSG, Ousmane ...
Kishapu. Katika jitihada za kuimarisha haki za familia na kupunguza migogoro ya ndoa katika jamii, wananchi wa kijiji cha Mwagembe, kata ya Mwataga wilayani Kishapu mkoani Shinyanga wamehamasishwa ...
Watuhumiwa wa kifikishwa katika Mahakama ya Wilaya ya Ilemela iliyopo Jijini Mwanza kwa ajili ya kusomewa shtaka la mauaji. Picha na Polisi Mwanza. Jeshi la Polisi Mkoa wa Mwanza limewafikisha ...
Rais wa China, Xi Jinping ametoa wito kwa nchi yake na Marekani kushirikiana kama washirika badala ya kuwa wapinzani, akisisitiza haja ya utulivu katika uhusiano wa mataifa hayo mawili yenye ushawishi ...
Kamanda wa Polisi Mkoa wa Mbeya,Benjamin Kuzaga akizungumza na baadhi ya vijana walio fanyiwa udanganyifu wa kupata ajira ya kutoa fedha kupitia kampuni ya Q Net na Global Alliance. Mbeya. Jeshi la ...
Mwanza. Taasisi ya Kuzuia na Kupambana na Rushwa (Takukuru) Mkoa wa Mwanza imezuia hasara ya zaidi ya Sh27.5 milioni katika mradi wa maji wa Mahaha, Wilaya ya Magu baada ya kubaini matumizi ya nyaya ...
Kamanda wa Takukuru Mkoa wa Geita James Ruge, akitoa taarifa ya utendaji wa taasisi hiyo Katika robo ya tatu Januari hadi Machi, 2026. Geita. Taasisi ya Kuzuia na Kupambana na Rushwa (Takukuru) Mkoa ...
Pichani ni mfanyabiasha Sifaeli Mollel anayedaiwa kutoweka kwa siku saba. Arusha. Simanzi na maswali mazito vimetanda katika familia ya mfanyabiashara Sifaeli Mollel baada ya mwili wake kukutwa ukiwa ...