Mbunge wa Viti Maalum Mkoa wa Pwani na Mwenyekiti wa Kamati ya Kudumu ya Bunge ya Ustawi na Maendeleo ya Jamii, Hawa Mchafu, amesema mhimili wa Mahakama unapaswa kuangalia uwezekano wa kushughulikia ...
Waziri wa Mambo ya Ndani ya Nchi, George Simbachawene ameweka wazi maelekezo aliyoagizwa na Rais Dk. Samia Suluhu Hassan ambayo yanaenda kugusa jeshi la polisi nchini. Mabadiliko makubwa yakidhamiriwa ...