Rais wa Jamhuri ya Muungano wa Tanzania, Samia Suluhu Hassan amepokea ripoti ya tume ya kuchunguza vurugu za Oktoba 29 zilizotokea wakati na baada ya uchaguzi mkuu wa Tanzania. Akipokea ripoti hiyo ...
Rais Samia Suluhu Hassan ameunda tume ya uchunguzi wa jinai kuhusu matukio ya uchaguzi mkuu wa Oktoba 29. Hatua hiyo imezua mjadala mkubwa huku upinzani na wanaharakati wakionesha wasiwasi kuhusu ...