(Nairobi) – Viongozi wa Afrika walishindwa kukabili dhuluma zilizofanywa na vyombo vya serikali na makundi yaliyojihami dhidi ya raia huku sera na mipango yao ikikosa kutoa nafasi ya kushughulikia ...
Ingawa Tume hiyo inasema kuwa bado haifahamu ukubwa wa tatizo, lakini inaisitiza kwamba matokeo ya uchunguzi huo yanaweza kukamilika chini ya miezi miwili. Na Mariam Mjahid & Asha Juma Chanzo cha ...
Kamishina Mkuu wa Haki za Binadamu wa Umoja wa Mataifa, UN Volker Turk amekutana jijini Tokyo na wanafamilia wa raia wa ...
Ripoti ya LHRC imebaini ukiukwaji mkubwa wa haki za binadamu wakati wa uchaguzi mkuu wa 2025, ikieleza mauaji, ukamataji holela na kuzorota kwa demokrasia. Kituo cha Sheria na Haki za Binadamu nchini ...
Nchini Chad, Kamishna Mkuu wa Haki za Binadamu wa Umoja wa Mataifa, Volker Türk, anatoa wito kwa mamlaka ya Chad na Nigeria ...
Demokrasia na utaratibu wa kimataifa unaozingatia sheria ziko hatarini, kulingana na ripoti ya kila mwaka ya Shirika la haki za binadamu ama Human Rights Watch. Kuna msisitizo mahususi juu ya Marekani ...
MOROGORO: Asasi za kiraia zimetakiwa kuwasilisha mapendekezo yatakayosaidia kutatua changamoto zinazoendelea kukwamisha ...
Ziara ya Papa Leo XIV katika gereza lenye utata nchini Guinea ya Ikweta yafufua mjadala wa haki za binadamu, mateso ya wafungwa na urejeshaji wa wahamiaji kutoka ...
Programu ya habari ya Afrika Upya inapeana habari mpya na uchambuzi wa changamoto kuu za kiuchumi na maendeleo zinazoikabili Afrika leo. Inachunguza maswala mengi yanayowakabili watu wa Afrika, ...
Taasisi hizo zimeacha alama mbaya katika historia ya haki, demokrasia, na utawala wa sheria nchini, na kutaka uchunguzi huru na kuwawajibisha wote waliohusika. Tayari Tume ya Haki za Binadamu na ...
Some results have been hidden because they may be inaccessible to you
Show inaccessible results